Sunday, 21 January 2018

Pata Kitabu cha Bureee na Uanze Kuwekeza Leo

PATA MWONGOZO (KITABU) BUREE NA UANZE KUWEKEZA LEO

Ndugu mwekezaji mtarajiwa nakukaribisha katika fursa hii ya uwekezaji kwa ajili ya kupata kitabu cha bure na wewe uanze kuwekeza na kushuhudia uwekezaji wako ukiongezeka kila siku kwa kampuni ambazo utachagua kuwekeza.Kitabu hiki cha bure kitakusaidia kujua taratibu zote amabazo mwekezaji anafuata katika kununua hisa. Hapa utapata kujifunza hatua zote za kuchagua madalali wa soko la hisa na vitu vya msingi kujua ili uweze kuanza kununua hisa katika soko la Hisa la Dar es salaam.

Mwongozo huu ulikuwa unauzwa kwa bei ya shilingi 4000 ila mimi nimeamua kukupatia bure ili uanze kuwekeza leo. Ila ili uweze kuwekeza kwenye kampuni inayofanya vizuri unatakiwa kujua ni kampuni ipu inafanya vizuri, basi nimekuandalia UCHAMBUZI WA TAARIFA ZA FEDHA ambao utakusaidia kujua kampuni nzuri ya kuwekeza na wewe kutengeneza faida.

Ili kupata kitabu cha bure unatakiwa kununua Uchambuzi wa Kampuni ambazo unataka kuwekeza . Ni muhimu kuwekeza kwenye kampuni bora ili ukuze mtaji wako, katika Uchambuzi wa taarifa za kampuni utapata kufahamu ni Kampuni gani inafanyya vizuri, Kampuni gani inatoa gawio, Kampuni gani ina mauzo makubwa, Kampuni gani inatumia rasilimali za kampuni vizuri na Kampuni gani ina nafasi kubwa ya kuendelea kukua kwa miaka ijayo.

Uchambuzi huu utakuwa unapatikana katika sekta, yaani kila sekta Kampuni zimechambuliwa na kupendekeza ni Kampuni zipi ni nzuri zaidi kwa uwekezaji. Tumegawa katika sekta ya Huduma (Commercial services), Sekta ya Madini (Mining), Sekta ya Fedha,Benki na Uwekezaji (Finance,Banking and Investment), Sekta ya Viwanda (Industrial) na Sekta ya Mawasiliano (Telecom).

Kwa hiyo wewe mwekezaji mtarajiwa unachotakiwa kufanya ni kununua Uchambuzi wa sekta mojawapo au sekta zote ili uweze kupata KITABU CHA BUREE.

KUPATA UCHAMBUZI WA TAARIFA ZA FEDHA ZA KAMPUNI 

Sekta ya Huduma (Commercial services) kwa Tsh 10,000
Sekta ya Fedha, Benki na Uwekezaji (Finance, Banking and Investment) kwa Tsh 10,000
Sekta ya Viwanda (Industrial) kwa Tsh 10,000
Sekta ya Madini (Mining) na Mawasiliano (Telecom) kwa pamoja unapata kwa Tsh 10,000

Ikiwa utahitaji kupata Uchambuzi kwa sekta zote kwa pamoja utalipia Tsh 30,000 badala ya kulipia Tsh 40,000.

Malipo unafanya kwa namba 0714 445510 (Jina Emmanuel Mahundi) kisha tuma ujumbe kwenye namba hiyo ukiambatanisha na email yako.


EMMANUEL MAHUNDI
emmanuelmahundi@gmail.com

Wekeza Mtanzania

1 comment:

  1. kwanini sector ya fedha na uwekezaji inatoa mabilionea wengi dunian

    ReplyDelete